imam ali

IQNA

IQNA – Haramu tukufu ya Imam Ali (AS) mjini Najaf, Iraq, imepambwa kwa maua mengi kwa heshima ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Imam wa kwanza wa Waislamu wa madhehebu ya Shia.
Habari ID: 3481742    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/31

IQNA – Kadri maadhimisho ya kuzaliwa kwa Imam Ali (AS) yanavyokaribia, bendera ya haram ya Imam huyo wa kwanza imebadilishwa katika hafla maalumu Jumapili.
Habari ID: 3481735    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/29

IQNA – Uwanja wa Haram Tukufu ya Imam Ali (AS) mjini Najaf, Iraq, leo tarehe 28 Disemba 2025 umeshuhudia hafla ya kupandisha bendera maalum.
Habari ID: 3481728    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/28

IQNA-Kiongozi wa idara ya nakala za maandiko ya Maktaba ya Al-Rawdha Al-Haidriya, iliyo ndani ya Haram ya Imam Ali (AS) nchini Iraq, amesema kuwa maktaba hii imejulikana kwa wingi na utofauti wa hazina zake za kidini na kisayansi, na imekuwa miongoni mwa maktaba mashuhuri zaidi.
Habari ID: 3481709    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/24

IQNA – Eneo  mpya katika Haram Tukufu ya Imam Ali (AS) mjini Najaf, ambalo linatambuliwa  kwa ukubwa wake wa kipekee na sifa bainifu za usanifu wa Kiislamu, umezinduliwa rasmi Jumanne huko Najaf, Iraq.
Habari ID: 3481681    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/19

IQNA – Idara ya Mfawidhi wa Haram Takatifu ya Imam Ali (AS), imtangaza kuanza kwa maadhimisho ya Wiki ya Kimataifa ya Idul Ghadir, yakihusisha ushiriki kutoka zaidi ya mataifa 40 katika mabara matano.
Habari ID: 3480824    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/11

IQNA – Kongamano la wasomi kuhusu hadithi za Nahj al-Balagha ilifanyika katika mji mtakatifu wa Karbala, Iraq. Idara ya Uhuishaji wa Urithi na Dar-ul-Ulum ya Nahj al-Balagha, inayohusiana na Idara ya Mfawidhi wa  kaburi takatifu la HadhratAbbas (AS), iliandaa tukio hilo.
Habari ID: 3480630    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/03

IQNA-Kuna mausuala mawili maarufu yaliyosalia kutoka kwa Ali Ibn Abi Talib (AS): la kwanza ni wosia wa kiakhlaqi kwa umma ambao anatoa maelekezo kuhusu mambo muhimu: "Allah Allah kwa yatima... n.k" na mwingine ni wosia wa kifedha ambao unajulikana kama "Kitabu cha Sadaka za Ali" (Waraka wa mali za wakfu za Ali). 
Habari ID: 3480463    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/29

IQNA – Msomi cha Chuo cha Kiislamu (Hawzah) huko Najaf , Iraq amesema kuwa Imam Ali (AS) alileta uzoefu wenye thamani kubwa katika utawala wa Kiislamu kwa Ummah wa Kiislamu.
Habari ID: 3480417    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/22

Ali katika Qur'ani/3
IQNA – Tafsiri kadhaa za Qur'ani Tukufu za Ahul Sunna zinabainisha kwamba aya ya 29 hadi 36 ya Surah Al-Mutaffifin zinasimulia hadithi ya wahalifu na wanafiki ambao walimcheka na kumdhihaki Imam Ali (AS) na kundi la waamini. 
Habari ID: 3480086    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/21

Utafiti
IQNA – Kitabu cha lugha ya Kiarabu, "Yote ya Nahj al-Balagha," (Tamam Nahj al Balagha) kinatoa mkusanyiko uliotafitiwa na kamili wa maneno ya Imam Ali (AS). Kimekusanywa na Hujjatul Islam Seyyed Sadeq Mousavi, msomi kutoka Mashhad, kazi hii inalenga kushughulikia mapengo ya kihistoria na changamoto katika kuelewa asili ya maneno ya Imam Ali (AS) kama yalivyowasilishwa katika Nahj al-Balagha, mkusanyiko maarufu unaohusishwa na Sharif Razi.
Habari ID: 3480074    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/18

Ali katika Qur'ani/2 
IQNA – Wafasiri wengi wanaamini kuwa aya ya 207 ya Surah Al-Baqarah katika Qur'ani Tukufu inamhusu Imam Ali (AS) kwa kitendo chake cha kujitoa muhanga kwa kulala katika kitanda cha Mtume Mtukufu (SAW) usiku wa Laylat al-Mabit. 
Habari ID: 3480055    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/15

IQNA--Leo tarehe 13 mwezi Rajab, ni siku ya kukumbuka kuzaliwa Amirul Muuminin, Imam Ali bin Abi Twalib (AS) ambapo katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaadhimishwa pia kama Siku ya Baba.
Habari ID: 3480053    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/14

Ahlul Bayt AS
TEHRAN (IQNA)- Tarehe 13 Rajab mwaka wa 30 Amul Fil, kulitokea tukio kubwa na la kushangaza ambalo lilikuwa halijawahi kutokea na halitatokea tena katika historia ya mwanadamu. Hii ilikuwa tarehe ya kuzaliwa Imam Ali AS katika Nyumba ya Mwenyezi Mungu, al-Kaaba.
Habari ID: 3480051    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/14

IQNA – Katika kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa Imam Ali (AS), mjumuiko wa Qur'ani umefanyika katika Haram au kaburi takatifu la Imam Ali (AS) huko Najaf, Iraq kwa hisani ya kituo cha  Dar al-Quran katika eneo hilo takatifu.
Habari ID: 3480045    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/13

Imam Ali (AS) Najaf, Iraq,
Siku ya Ashura inapokaribia, ua wa haram tukufu ya Imam Ali (AS) huko Najaf, Iraq, ulifunikwa na zulia jekundu.
Habari ID: 3479122    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/14

Aya ya 55 ya Surah Al-Ma’idah ya Qur’ani Tukufu inasema kwamba “Walii wenu” ni Mwenyezi Mungu tu, Mtukufu Mtume (s.a.w), na wale wanaotoa Zaka wakati wakisujudu katika Sala.
Habari ID: 3479008    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/24

Makala
IQNA-Mnamo tarehe 20 Mfunguo Tisa, Jumada-Thani, mwaka wa tano kutokea Kubaathiwa Bwana Mtume, uliosadifiana na mwaka 615 Miladia, nyumba ya Nabii Muhammad (SAW) Mjumbe wa Mwenyezi Mungu na mkewe Bibi Khadija katika mji wa Makka, iliangazwa na nuru ya kuzaliwa mwana mtukufu. Mwenyezi Mungu aliwabariki watukufu hao wawili binti ambaye, alikuja kuendeleza kizazi kitoharifu cha Bwana Mtume SAW.
Habari ID: 3478135    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/02

Harakati za Qur'ani Tukufu
IQNA - Wahifadhi na wasomaji Qur'ani kutoka nchi 12 walishiriki katika toleo la mwaka huu la mashindano ya Qur'ani yaliyoandaliwa na Kituo cha Dar-ul-Quran cha Imam Ali (AS) nchini Iran.
Habari ID: 3478045    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/16

Njia ya Ustawi/ 6
TEHRAN (IQNA) – Mafundisho ya Uislamu yanasisitiza juu ya Tarbiyah au malezi ya nafsi, ambayo ina maana ya kurekebisha na kuitakasa tabia.
Habari ID: 3477977    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/02